RECHO ASHEREKEA SIKU YA KUZALIWA KWAKE KWA MBWEMBWE



Keki ya sherehe ilivyokuwa.
Linah akiwasha mshumaa kama ishara ya upendo kwa shoga'ake.
Mzazi mwenzake na mwanamuziki Barnaba aitwaye Mama Steve (kulia) akilishwa keki na Recho.
Mtangazaji wa kituo cha EFM, Ssebo (kulia), akilishwa keki.Staa wa Bongo Fleva, Winifrida Josephat 'Recho', akilishana keki na Estelinah Sanga 'Linah', usiku wa kuamkia leo ndani ya Regence Hoteli Mikocheni jijini Dar, katika sherehe za bethidei yake.
Mmoja wa marafiki zake Recho akimtunza fedha.
Recho akiwa na wenzake baada ya ufunguzi wa shampeni kufanyika kwa usahihi.
Recho katika pozi.
MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Winifrida Josephat 'Recho', usiku wa kuamkia leo alifanya  sherehe ya kuzaliwa kwake na baadhi ya jamaa na marafiki aliowaalika katika Hoteli ya Regence Mikocheni jijini Dar ees Salaam.
(Habari/Picha: Musa Mateja/GPL)


No comments:

Post a Comment

Peruzi Kurasa.

Designed By Seo Blogger Templates Published.. Blogger Templates