Mwigizazi Lulu Michael Kuihama Bongo, Sasa Kuhamia Kenya



Habari za chini ya kapeti  kuhusu mwigizaji Lulu Michael zinasema huenda siku za karibuni akahamia nchini kenya kikazi baada ya Kituo kimoja kikubwa cha Television kuvutiwa naye na kuamua kumpa kazi ya Utangazaji ..
Bila kutaja jina la kituo hicho cha Televion myetishaji wetu alisema mwakilishi wa Kituo hichi alitua hapa nchini kuweka mambo sawa..Inasemekama kituo hicho kilisha onyesha nia ya kumchukua muda mrefu na ndio maana Lulu Akawa Bize sana na Masomo ya kujifunza kingereza ili asije akaaibisha akienda huko kwa Kenyata


No comments:

Post a Comment

Peruzi Kurasa.

Designed By Seo Blogger Templates Published.. Blogger Templates