Mwili wa marehemu Ebby Sykes yaliyofanyika jana ukiwa kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Wakati wa mazishi jana.
Mamia ya watu waliohurudhia mazishi hayo jana.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick akiweka udongo katika kaburi la msanii mkongwe Ebby Sykes.
Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete, akiweka udongo.
Mbunge wa Ilala, Mussa Azan Zungu (katikati) akiweka udongo katika kaburi.
Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba akiweka udongo.
Msanii wa Bongo Fleva Dully Sykes (katikati) akiwa ameshikwa kupelekwa kuweka udongo katika kaburi la baba yake.
...Akiweka udongo kwenye kaburi la baba yake.
Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba ( mbele) akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick wakielekea makaburi ya Kisutu.
Baadhi wa waombolezaji wakiwa katika picha ya pamoja.
Baadhi ya ndugu na marafiki wa karibu wakiwa katika picha ya pamoja na Dully Sykes (katikati).
(PICHA: DENIS MTIMA/GPL)
No comments:
Post a Comment