Japo Huwa Anamtandika Makofi Lakini Kifua cha Nuhu Mziwanda Ndio Mto wa Kupatia Usingizi Shilole..





Siku ya Jana ilikuwa ni siku ya Wapendanao ambapo watu mbali mbali walishow love kwa Watu wanao wapenda , mwimbaji Shilole ambae hivi karibuni ameingia katika skendo ya kumchapa vibao mchumba wake Nuhu Mziwanda Jana katika ukurasa wake wa Instagram alipost haya maneno kuhusu Nuhu:

'My lv wangu mm wa uban! Nikiwaga nimekwazika na ya walimwengu basi akilinilaza kwenye kifua chake mawazo yote yanaisha na ninaweza sinzia kabisa! Nakupenda sana jackson wangu! Mm huwa napenda kumuita hivyo japo nyinyi mnajua kwa jina la NUH happy valentine my hubby." Aliandika Shilole

Haya Muache Kupigana Vibao sasa!


No comments:

Post a Comment

Peruzi Kurasa.

Designed By Seo Blogger Templates Published.. Blogger Templates