HALI ILIVYOKUWA MSIBANI KWA BABA YAKE DULLY KABLA YA MAZISHI




Mwili wa marehemu Mzee Sykes ukiingizwa kwenye gari tayari kwa ajili ya mazishi makaburi ya Kisuti 
jijini Dar.

Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa kaka wa marehemu Kawe Beach, Dar.
Mama yake Dully akifarijiwa.
 Dully akiwa na watoto wake.
Dully akijifuta machozi huku akiongea na ndugu zake.
Dully Sykes (wa pili kutoka kulia) na Christian Bella (kulia).
Babay Madaha na Isabella Mpanda wakiwa msibani.
(PICHA: SHANI RAMADHANI, MAYASA MARIWATA, DENIS MTIMA/GPL)


No comments:

Post a Comment

Peruzi Kurasa.

Designed By Seo Blogger Templates Published.. Blogger Templates