CHEKI MATUNGULI WALIOKAMATWA NAYO SIMBA UKAWA UWANJA WA JAMHURI MOROGORO





Kikundi Maarufu cha wanachama walioasi wa klabu ya Simba,Simba ukawa,jana kilikuja na matunguli katika uwanja wa jamhuri mkoani Mororgoro,Mnyama akishinda mabao 2-0 na hali hiyo ilisababisha Simba wenyewe wapigane wakipinga imani hizo za kishirikina.



Matunguli hayo yaliokuwa yanatisha kuyatazama yalikamatwa kabla ya mechi na kuzua tafrani miongoni mwa wadau wa soka waliofurika uwanja wa jamhuri.huu ni muendelezo wa imani za kishirikina katika soka la Bongo.

wadau wakiwa wamekamata matunguli.



No comments:

Post a Comment

Peruzi Kurasa.

Designed By Seo Blogger Templates Published.. Blogger Templates