BABA wa marehemu Steven Kanumba, Charles Kanumba amemchana mzazi mwenzake, Flora Mtegoa kuwa anateswa na laana na ndiyo maana hafanikiwi.
“Tatizo ni papara ya mwezangu ya kutaka mali ndiyo mambo yanayotokea na kamwe hataweza kufanikiwa kwa sababu baraka za mtoto zinatoka kwa mama na baba na hiyo laana itazidi kummaliza sababu hakunishirikisha,” alisema.
Mama Kanumba Flora Mtegoa.
“Huyo mzee yeye ndiyo ana laana, nimeshamzoea, hana jipya amekalia majungu. Mimi sina laana, nakaa kwenye nyumba ya maana na si kama yeye anayeishi kwenye nyumba ya udongo.”
GPL.



No comments:
Post a Comment