Tukio Hilo Limetokea Mchana mchana na wote hao walikuwa ni wanafunzi wa shule moja maarufu katikati ya Jiji Dar es salaam,
inasemekana siku hiyo hawakwenda shule kabisa , kwani mashuhuda wanadai walikuwepo maeneo hayo toka mida ya asubuhi wakitembea pembezoni mwa bahari huku wakichezeana na kucheka cheka , baadae walianza kuogelea na kufanya huo uchafu ambapo report aliweza kuwapiga picha bila wenyewe kujua .
No comments:
Post a Comment