Mengi Ametoa Fumbo Kali la kufungua Mwaka...Jibu Kama wewe ni Kichwa.
Mwaka Mpya Umeanza kwa Vijembe kwa Mfanyabiashara Mengi , kwenye Ukurasa wake Ameandika Maneno ambayo kwa wengi ikiwemo na mimi ni kama Fumbo , Kama wewe ni Kichwa na Mjuzi wa Mambo embu Tufumbulie hilo fumbo hapo chini ni nani anasemwa hapo ?
|
|
No comments:
Post a Comment