Ni mitindo mingi ya nywele tumeiona kwa mastaa ukiwemo mtindo wa kiduku ambapo kwa sasa mastaa wengi wananyoa hivyo, kuna wengine wanaachia nywele zinakua nyingi ambapo mtindo huu wengi huuita ‘Mwembe’ kwa wingi wa nywele kichwani.
Sasa sasa hivi staa kutoka kundi la Original Komedi mchekeshaji Joti kaamua kuianza 2015 kwa mtindo huu ambao hajasema unaitwaje lakini kwenye post zake aliandika >>> ‘Kwaheri 2014 sasa karibu 2015, karibu babaaa…..my new style’
No comments:
Post a Comment