Manchester City yamwania striker wa Aston Villa christian Benteke. mabingwa hao wa Ligi kuu wanataka kuimarisha safu yao ya ushambuliaji baada ya Sergio arguero kuwa majeruhi. Edin Dzeko na Stefan jovetic wanawaacha wakiwa hawana chaguo.
Source: The Sun
Sunday, 4 January 2015 10:24
Sunday, 4 January 2015 10:24

No comments:
Post a Comment