Mwigizaji lulu Michael Amekuwa Midomoni mwa watu wengi baada ya malengo aliyoyaweka 2014 ya kuolewa kubuma , Hivi karibuni amehabarisha na kusema ndoa mungu ndo anapanga hivyo kutokuolewa 2014 hakumpi shida, kwasasa amesema maswala ya kuolewa hafikirii mpaka labda baada ya miaka miwili kupita kama mola atajalia..
Paparazi alipomuuliza kama ana mchumba kwa sasa ama la lulu amekataa kusema lolote kuhusu hilo...
No comments:
Post a Comment