Juventus wapo makini kuhakikisha kuwa Paul Pogba mwenye thamani ya pauni milioni 70 ambaye anawaniwa na Man U pamoja na Chelsea, anasalia kikosini hapo na pia wanataka kuwaongeza ramirez na Radamel Falcao na Miranda kikosini.
Source: Daily Mail
Sunday, 4 January 2015 11:10

No comments:
Post a Comment