Meneja wa zamani wa Uingereza Glen Hoddle ameonesha nia ya kutaka kuinoa Klabu ya Newcastle.
kocha huyo mwenye umri wa miaka 57 ana mahusiano mazuri na chief scout Graham Carr na anawania kuchukua nafasi ya Alan Pardew.
Source: Newcastle Evening Chronicle
Sunday, 4 January 2015 12:04

No comments:
Post a Comment