Boss Wa Chelsea Mourinho Aomba Radhi kwa kukosoa Refarii.

Mreno huyo ameomba radhi mbele ya hadhara Kwa Kevin Friend baada ya kumshambulia afisa huyo kwa kutowapa penati wakati wakichuana na Watford kwenye michuano ya kombe la FA wakiwa nyumbani. Blues walishinda 3-0


No comments:

Post a Comment

Peruzi Kurasa.

Designed By Seo Blogger Templates Published.. Blogger Templates